Friday, 22 February 2013

Haja ya kuhutubu amani

Andikwa kwa Anne Makena, rafiki yangu:
(tafsiri kwa mimi)

Uhuru Kenyatta ni mwananchi wa Kenya, mwanasiasa na mfanyabiashara ambao ameajiri watu wengi na amekupa msaada kwa Wakenya wengi, hata wakulima wengi ambaye wanauza mazao yao kwa kampuni zake. Jumuia ya biashara yake ni muhimu kwa uchumi wetu na inatuauni mishahara kwa Wakenya wengi.

Raila Odinga amekuwa mwanasiasa wa taifa hili na amelipa sana kushinda kwa ukombozi wa pili. Ameteseka, amekamatwa, amehuzunika kwa sababu kwamba sisi (taifa lizima, wote wa kabila lolote) tunaweza kupokea uhuru na demokrasia. Watu wale wengine na amri wakitaka tuzuge, yeye ametukesha.

Halafu, swali langu ni hili:

Aidha kama hawa wawili hawajatoka kabila lako, je, unakuwa na nini dhidi Uhuru au Raila, mabwana wawili ambaye ni marafiki binafsi? Je, wawili ambaye hujawakutana na bila shaka hutawakutana?

La, mimi ninachagua si kuwa mtu wa kabila tu. Nahutubu penzi.

Tafadhali hutubu amani, penzi na umoja hadi tarehe ya nne, mwezi wa tatu, na milele na milele.